harakati zetu
Member
- Nov 24, 2013
- 30
- 9
Wana JF Naomba msaada kwa mwenye ufahamu khs brand gani inauzika zaidi ktk soko la vifaa vya ulainishaji mitambo ya pikipiki hasa hizi kama San LG ,Fekon,Bajaj na Boxer .Nisaidiwe kujua ni wp naweza pata kwa bei ya jumla nzuri ili na mm niweze kuendesha biashara yngu,pia mapambo yanapatikana wapi na Msaada wa kununua Compressor Machine kubwa niiweke kwa ajili ya kuzibia Pancha na kujaza upepo ktk ofic yangu