NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Habari zenu wana tech, nipo hapa nimepata wazo nataka nifungue forum iwe kama JamiiForums ila tu utakuwa mahususi kwajili ya watu wanaotokea sehemu moja, kufanana interests, kufanya kazi / biashara sawa, n.k. (niche specific)
Wanachama wa kukadiriwa kujiunga ni takribani elf 30.
Je, ni kiasi gani kinahitajika ?
Awali nilitaka nifungue forum ya sisi mafundi seremala lakini niliona niche hii wahusika wapo wachache na kiteknolojia wapo nyuma hasa ukizingatia wengi ni std 7 na form 4 ambao hata email hawana za kujiungia kwenye forum. Wachache hasa tulioishia form 4 (nikiwemo mimi) tuna email hata za kutumia kujiunga huku jf, kwa kuliona hili nikaamua ni focuss na wide niche.
Benefits waweza kuuza display ads kwa wanaotaka kutangaziwa biashara zao either locally ama ad networks kama adsense na taboola, waweza promote bidhaa zako niche specific mfano group la arusha waweza weka kabango kadogo kuuza mashuka yao + kusafirisha, n.k. waweza uza e-books / pdf niche specific, n.k