Kufungua hardware

Kufungua hardware

Lasma1922

Member
Joined
Mar 23, 2023
Posts
38
Reaction score
59
Habari wakuu, nlikuwa naomba msaada Kwa wazoefu, ninataka kufungua duka la vifaa vya useremala lakini nataka kuanzia na vichache vyenye matumizi ya kila siku kama misumari ya aina zote, msasa, rangi, vitu vya urembo kwenye furniture, siller,
- Kwa mwenye uzoefu wa hivi vitu mkoa wa morogor, kiwango Cha chini Cha mtaji kiwe shngapi
Natanguliza shukrani[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom