Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Jul 16, 2022 #1 Wakuu habari za wakati huu, natamani sana kujua ABCs za kuanzisha kituo Cha Afya Cha binafsi. Je ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia? Je, Kuna mtu anaweza ku-share experience namna ya kukiendesha kwa faida? Natanguliza shukrani sana
Wakuu habari za wakati huu, natamani sana kujua ABCs za kuanzisha kituo Cha Afya Cha binafsi. Je ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia? Je, Kuna mtu anaweza ku-share experience namna ya kukiendesha kwa faida? Natanguliza shukrani sana
zabron k JF-Expert Member Joined Nov 11, 2015 Posts 943 Reaction score 1,107 Jul 16, 2022 #2 Mnaitwa kutoa ujuzi bandugu
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Jul 16, 2022 Thread starter #3 Hhahahahau zabron k said: Mnaitwa kutoa ujuzi bandugu Click to expand...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 16, 2022 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Jul 16, 2022 Thread starter #5 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... Hahahahaaha wameingia mitini