Kufungua kampuni - msaada wa kuandika documents

MJIMPYA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
506
Reaction score
272
Natafuta mwenye utaalamu wa kuandika documents za kufungua kampuni. Nina wazo la kufanya biashara ndogo tu kwa kuanzia ila baadae naamini itachanganya na kuwa kubwa so nahitaji niwe na kampuni.

Nataka pia ushauri wa mambo mbalimbali so nikipata mzoefu na aliye tayari kujibu maswali yangu nitafurahi.
Tafadhali aliye serious ani-PM pia weka cost zako na contacts.

Asanteni sana
 
Mkuu sema kwanza aina ya kampuni unayotaka kufungua, itakua na shughuli gani ili mtu akushauri...
 
Natafuta mwenye utaalamu wa kuandika documents za kufungua kampuni. Nina wazo la kufanya biashara ndogo tu kwa kuanzia ila baadae naamini itachanganya na kuwa kubwa so nahitaji niwe na kampuni.

Nataka pia ushauri wa mambo mbalimbali so nikipata mzoefu na aliye tayari kujibu maswali yangu nitafurahi.
Tafadhali aliye serious ani-PM pia weka cost zako na contacts.

Asanteni sana

nitakusaidia kusajili kampuni yako, ikiwa ni sole propietor, partnership au limited liability company.within seven day unapata documents zote. nampatikana.
Tel: +255 767 102102
: +255 655 308308
email: dgjamesonltd@gmail.com
 
Back
Top Bottom