Kufungua kampuni

-Muwe kuanzia watu watu wawili
-Mtaji anzia ambao utautaja
-Shughuli tarajiwa za kampuni
-Anuani za wanahisa
-TIN za wanahisa
-Anuani na mahali pa ofisi ya kampuni
-Ada ya usajili wa kampuni.

Kama unataka msaada namna ya kusajiri njoo PM tuyajenge nikusajirie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…