Tembelea website ya brela utaona fee za kulipia kulingana na capital share then tafuta mwanasheria akutengenezee memorandum rudi
brela na vitabu vyako lipia bank subiri ndani ya siku saba unaenda chukua company yako.memorandam kitabu kimoja 15000 muhuri 5000