alutesalim
Member
- Jul 11, 2019
- 6
- 3
Habarini wa jamvi, naomba kupewa ushauri kuhusu kufungua kakiwanda kadogo cha kukoboa mpunga maeneo ya mvomero morogoro. Naombeni ushauri kama inalipa na kama mnaweza pemdeza maeneo mazuri zaid katika kata za mvomero ili nifungue, nina mtaji wa milioni 15 hv utatosha?
Karibuni
Karibuni