Wadau nataka kufungua medical store au phamacy hapa Dar ila sehemu ndio inanipa shida kwasababu wataalamu wanasema natakiwa nipate sehemu ya watu wengi.Nawaomba kwa wale wenyewe kujua sehemu mzuri please naomba mnifahamishe au mtu mwenye ushauri naomba pia.