Nafikiri kwa hakika mawazo ya mwana hapo chini ndiyo wengi walioanzisha shule bila mtaji walivyofanya mimi nawafahamu watu zaidi ya wawili walionza na tution sasa ni shule, inategemea tu una malengo gani tena mwingine ninaye mfahamu si mwalimu by profession ila amesoma tu language (english) pale Udsm.
amini unaweza kama nia but also wengine hutafuta wadhamini ambao upenda kuwekeza kwa Elimu kisha wewe wakusanye wataaluma wenzio mpange jinsi ya kuanza