Kufunguliwa kiwanda kikubwa cha saruji Tanga

Kachangamtoto

Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
82
Reaction score
28
Ikiwa ni fursa kwa watu kupata ajira na kukuza uchumi wa nchi yetu, Bado serikali inaruhusu wageni wengi kuajiriwa kwenye hivyo viwanda, Wazalendo wanalipwa ela kidogo sana, nini kifanyike watu kupata haki zao
 
Cha kufanyika ni mh. Rais kutumbua uhamiaji na waziri wa ajira na kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…