Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Jana Serengeti baridi zilikuwa zinashuka taratiiibu huku nikimshuhudia David Sylva akionyesha some worldclass kiwango! Wazee what inauma zaidi kati ya kufungwa 8-2 ugenini tena ukiwa na kikosi cha pili cha watoto na kufungwa 6-1 nyumbani,tena wewe ni bingwa and upo full nondo! Dakika ya 70 watu malianza kuondoka old trafford! MANCHESITA!!!
Mkuu umesema vema kuwa Arsenal hatukutalajia ushindi kwenye mechi hiyo baada ya kuwakosa wachezaji zaidi ya 9 wa kikosi cha kwanza halafu unaenda kucheza na bingwa mtetezi tena nyumbani kwake akiwa hajapoteza hata mechi moja, hakika kipigo kilikuwa lazima lakini swala ni goli ngapi hakuna alielijua hilo yote kwa yote muosha huonshwa jana MANU kaoshwa baada ya kumuosha Arsenal....Asante mungu kwa kututunzia heshima maana kwasasa mitaani na maofisini tuna heshimiana sasa kwamba lolote laweza kutokea kwenye soka...........Zote zinauma ila nadhani hii ya Man U inauma zaidi kwani sidhani kama mashabiki wake na hata kocha wao aliingia uwanjani akitarajia kipigo kikubwa kiasi hicho. Kimsingi waliingia wakitarajia ushindi hasa ukiangalia historia ya timu hizi mbili na matokeo yao ya kwenye ligi mpaka sasa - walikuwa hawajapoteza mechi hata moja. Arsenal kwa upande wao walitarajia kipigo, baada ya kuwa wamewauza wachezaji wao wa kutumainiwa, ila sidhani kuwa nao walitarajia kipigo cha goli nane.
Jana Serengeti baridi zilikuwa zinashuka taratiiibu huku nikimshuhudia David Sylva akionyesha some worldclass kiwango! Wazee what inauma zaidi kati ya kufungwa 8-2 ugenini tena ukiwa na kikosi cha pili cha watoto na kufungwa 6-1 nyumbani,tena wewe ni bingwa and upo full nondo! Dakika ya 70 watu malianza kuondoka old trafford! MANCHESITA!!!
Alex Ferguson's wife woke him this morning and said,"HONEY GET UP ITS SEVEN!...... And the poor old man screamed,"DAMN MAN CITY HAS SCORED AGAIN!"
Mkubwa football haina ya kikosi cha kwanza wala cha pili ukifungwa lazima ukubali kipigo mwaka 2001 Arsenal alipigwa na Man 6-1 ,kikosi cha Arsenal kikiwa na kina Seaman,Cole,Henry,Pires,Wiltord,Parlor,Silvinho,Grimand sasa sijui na hiki kilikuwa kikosi cha piliDozi ya MANure jana imetia fola kwani kile kilikuwa ndio kikosi chao cha kwanza, pia walikuwa nyumbani na mbaya zaidi walikuwa wanacheza against mahasimu wao wakubwa.. Tofauti na arsenal ambapo wachezaji wengi karibia 7 wa kikosi cha kwanza hawakuwepo. *6-1*
Kufungwa ni kufungwa tu hakuna cha ugenini wala wapi! Kwani ukifungwa ugenini unapata pointi au anayefunga mwenzie kwake anapata pointi za ziada?
Kufungwa ni kufungwa tu hakuna cha ugenini wala wapi! Kwani ukifungwa ugenini unapata pointi au anayefunga mwenzie kwake anapata pointi za ziada?
Mkubwa football haina ya kikosi cha kwanza wala cha pili ukifungwa lazima ukubali kipigo mwaka 2001 Arsenal alipigwa na Man 6-1 ,kikosi cha Arsenal kikiwa na kina Seaman,Cole,Henry,Pires,Wiltord,Parlor,Silvinho,Grimand sasa sijui na hiki kilikuwa kikosi cha pili
Juzi tuliwafunga 8 mkasingizia kikosi cha pili ,nikakukumbusha hata cha kwanza kilipigwa 6hehehe! angalia sasa belo.. unaanza kuleta matokeo ya 2001! hehehe!!!