Kufungwa afungwe Mbeya City kununa anune 'Mnyama'

Ili simba sc wawe juu vs yanga mechi waliyobaki nayo wanatakiwa watandike mabao yasiyopungua 11
 
Nmejibu. Brigedia uchwara.mie sio askari wa kusema "yes sir, ndiyooo afandee"
Wapi umetaja jinsia yako?

Nimekuuliza kuhusu jinsia unaniletea mambo ya suruali baadaye ukaja na ID yako nyingine ukanijibu unaitwa Faru Fausta.
 
Hans Pope kabwaga manyanga. Ubingwa hamuupati. Ruba keshaingia dimbwini.
Sawa ila ngoja nikuchane kidogo

Umejishushia heshima kutamka neno"utajiju" hilo ni neno la kike ndo maana nikashangaa dume zima unatumiaje neno hilo?
Unatudhalilisha badilika .
 
Wapi umetaja jinsia yako?

Nimekuuliza kuhusu jinsia unaniletea mambo ya suruali baadaye ukaja na ID yako nyingine ukanijibu unaitwa Faru Fausta.
Wewe askari wa cheo cha juu sana tumia akili ya kijeshi kupata majibu magumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…