MR. MORRIS T. J.
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 1,167
- 403
mkuu kwanza pole kuuguliwa na mama yetu!!
Pili kwani hofu yako ninini? Maana mwenyewe unasema madaktari ndio wameshauri hivyo' sasa huna imani na ushauri wa kitabibu uliotolewa na matabibu utakuwa na imani na ushauli na watu kama mimi ambao wengine hiyo sio field yetu?
Pili kama ulikuwa na shaka juu ya hilo kwanini usiwaulize na kuwaeleza wasiwasi wako hao wataalamu ili wakuondoe hofu yako?
Kama nimadaktari ondoa shaka mkuu najua wanajua wanachokifanya wala hawajakurupuka kwahilo
pole
nyama zipi hizo, hebu kuwa specifics kwanza
magoti