M Mwala J Member Joined Jan 20, 2013 Posts 62 Reaction score 40 Jun 27, 2013 #1 Kuna mtaalamu wa kufunga mikono na miguu iliyovunjika kienyeji, mkono/mguu haupindi na unapona haraka na ukikosewa kufungwa hosptali ukienda kwake anakuvuja na kukufunga upya....
Kuna mtaalamu wa kufunga mikono na miguu iliyovunjika kienyeji, mkono/mguu haupindi na unapona haraka na ukikosewa kufungwa hosptali ukienda kwake anakuvuja na kukufunga upya....
D dav22 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,887 Reaction score 312 Jun 27, 2013 #2 Du kuvunja na kufunga upyaa??
M Mwala J Member Joined Jan 20, 2013 Posts 62 Reaction score 40 Jun 27, 2013 Thread starter #3 Tena bila ganzi mkuu.
S SHADRACK LUTOBECK Senior Member Joined Sep 29, 2013 Posts 129 Reaction score 18 Apr 23, 2014 #4 Dawa zipo na hayo matibu nayafanya mimi mwenyewe tena kwa utaraamu wa hali ya juu.kama unatatzo hilo nitafute.0759217720
Dawa zipo na hayo matibu nayafanya mimi mwenyewe tena kwa utaraamu wa hali ya juu.kama unatatzo hilo nitafute.0759217720
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Apr 23, 2014 #5 Mmh. Mtupe feedback