Makene JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,475 Reaction score 282 Aug 5, 2012 #1 Je ni sheria gani inayotoa mamlaka kwa mahakama kutoa adhabu ya kifungo kwa mtu aliyekataa kuhesabiwa sensa kama mkuu mmoja wa wilaya alivyosema kwa kuonya raia kutosusia zoezi la kuhesabu watu?
Je ni sheria gani inayotoa mamlaka kwa mahakama kutoa adhabu ya kifungo kwa mtu aliyekataa kuhesabiwa sensa kama mkuu mmoja wa wilaya alivyosema kwa kuonya raia kutosusia zoezi la kuhesabu watu?