MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Nitoe Pole kwa wanasimba wenzangu kwa kichapo tulichopokea jana nyumbani.
Ni wazi mpira ulichezwa vizuri na timu zote mbili kwa ufundi mkubwa. Wachezaji wa simba pamoja na kufungwa walionyesha uwezo wao na kasoro zao pia.
Ukweli mchungu ni kuwa Raja wamewekeza na wamekamilika idara zote kwa gharama kubwa. Timu hii ipo afrika lakini inaweza ikaingia ligi kuu ktk nchi yoyote duniani na ikamaliza top 7 kama kila kitu kitabaki sawasawa.
Hii ndiyo timu iliyovunja mwiko wa simba iliyoshindwa kukamilika baadhi ya idara kwasababu ya pesa. Lakini kufungwa kwa simba hakuifanyi simba iwe mbovu.Nampongeza mwekezaji MO kwa maono yake bado atafika mbali sana.
Ushauri wangu kwa sasa namuona kocha wetu mkuu amepwaya sana. Timu aachiwe mgunda amalizie mechi zilizosalia nafasi ya pili INAWEZEKANA.
SIMBA NGUVU MOJA.