Kufungwa na Wachonga Vinyago wa Mwenge Dar na Wachunga Ng'ombe wa Singida ipi inauma?

Mmeoa? Hiyo mikunyenge ni yenu. Wewe umerithi uzanakini au unyarwandani?
Ulienda jando la kizanaki( ukisha balehe) au la kinyarwanda( hospitalini)?
 
Mmeoa? Hiyo mikunyenge ni yenu. Wewe umerithi uzanakini au unyarwandani?
Ulienda jando la kizanaki( ukisha balehe) au la kinyarwanda( hospitalini)?

Dada yako ana majibu yote sahihi juu ya uliyoyauliza hapa. Just try to ' Consult ' her please!
 
Nimecheka mpaka basi maaaana hii stori ilishawahi kutokea live kwenye maongezi ya wadada fulan nikabaki kushangaa tu.
 
uliachwa na msichana wa kinyaturu, tena uliachwa kwa harau sana, utakufa nalo hilo mbwiga wewe
 
Acha ' Uboya ' Wewe kuna tofauti kubwa sana kati ya kufungwa na Watoto wa Mjini Green Warriors na ' Walugaluga / Washamba / Mambwiga ' wa Singida ambao ni Wafugaji na Wakamua maziwa na alizeti Singida United.
Umesahau jina lingine ni mabairmaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…