Kufurika kwa Kambi za JKT: Je, kuna haja ya kuongeza kambi hizo?

Kufurika kwa Kambi za JKT: Je, kuna haja ya kuongeza kambi hizo?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Vijana kadhaa waliokuwa wamepangiwa kujiunga kambi mbali mbali za JKT nchini, wameshindwa kujiunga na Kambi hizo kutokana na maelezo kwamba zimejaa kupita kiasi.

Je, kuna haja ya kuongeza idadi ya Kambi hizo ili kukidhi wingi wa vijana wanaotakiwa kujiunga na mafunzo ya JKT?
 
haina haja ,haina maana kama nchi inasaini mkataba na mkoa hivi unafikiri kuna vijana au wazee wasomi wanafikiri au kuna uzalendo huku kambini?
 
Lakini vijana hawa walipangiwa kuripoti kila mmoja kwenye kambi aliyopangiwa, labda kama wapo wameripoti kambi tofauti na waliyopangiwa. Na nadhani kulikuwa na maandalizi kwa kila kambi kupokea idadi ya vijana waliopangiwa, inakuwaje wanakataliwa..ni kambi gani zimejaa?
 
???

Back
Top Bottom