Umbea tuMmh! Shoga kidawa Aunty Ezekiel kwenye mitandao ya kijamii kasema ametoa mchango million nne kumbe katoa laki mbili, Uwoya nae alitangaza kalipa mil 8 kumbe laki tano, hawa wanapenda sifa hela hawana, na hapo bado Domo atasema anatoa mil 100.
View attachment 1792757
Upumzike kwa amani mkuu.Wanazengo na nyie mna midomo[emoji23][emoji23], kwanza na nyie mmeolewa au ndo mko heda kama Warumi hapai[emoji23][emoji23]
ni kweli mkuu warumi ametutokaBinamu nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano, wewe itikia Ndoa ya dida iendelee
RIP MKUU,upumsike kwa amaniBinamu Dida atakua kakuibia mume sio kwa vichambo hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... shoga make ups kutwa mara tatu na zinadunda, anaonekana kama zile poda wanazopakwa maiti, Dida ana sura nzito Jaman looh ila wanaume wana huruma
Daaaaah.Wanazengo na nyie mna midomo[emoji23][emoji23], kwanza na nyie mmeolewa au ndo mko heda kama Warumi hapai[emoji23][emoji23]
Unaachaje kupenda reply za huyu mtu.Mmh shoga angu una utoto gan Jaman bado miaka miwili uende meno pause[emoji23][emoji23], sitaki mie.... hivi Dida atakua na miaka mingap binamu , sio hamsin Kweli yule mmh
Inauma sana [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] dah!Unaachaje kupenda reply za huyu mtu.
Dah!!
Heb nisikufuru.
Pumzika kipenzi.
Aiseeeewe gona miss you sister brother
Ndio yeye aisee Mungu amrehemu[emoji120]Sijui ndio huyu au la
Warumi jamani....pumzika kwa amani mleta ubuyu wetuShoga nae ana uso mpana kama uji wa muhogo mxieew , usikute ni age mate na mama Diamond yule
Nyuzi zako hazitakufa tutazienzi kama hivi...sio kwa vichambo ulivyokuwa navyo....RIP BinamuBinamu Dida atakua kakuibia mume sio kwa vichambo hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... shoga make ups kutwa mara tatu na zinadunda, anaonekana kama zile poda wanazopakwa maiti, Dida ana sura nzito Jaman looh ila wanaume wana huruma
AiseeeeeMsimsahau dada yenu Gentamycine