Yasemekana kaachika!!Ndoa chali kaachwa hata miezi sita bado. Utasikia anaolewa tena hii itakuwa ndoa ya tano
Heeee, mabwaku.Yasemekana kaachika!!
Eehh!mmeskia tetesi ngoja nkirudi uswahilini kwetu ntajua mbivu na mbichiHeeee, mabwaku.
Eehh!shoo...ngoja nkifika uswahilini hukoo ntajua tu!Kaachika tena mweeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi dida hiki kitakuwa chuo cha ngapi?
Hata sijuiHivi dida hiki kitakuwa chuo cha ngapi?
Muongo kabwagwa huyo dida nimeona icu dstv
Kitambooo sana shos. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eehh!shoo...ngoja nkifika uswahilini hukoo ntajua tu!
Naamini mtaonana huko... inshallah 🙏Safari hii mwezi tu , kwanza ashukuru vipesa vyake maana tunajua yeye ndo anaoa
Watakutana huko wayapange vizuri[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Tabia ya kufukua makaburi utakuja kutana na mizimu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]