Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha. Atakua ashanunua benki DRC tayariItakuwa mambo ya Rushwa tu, wakenya na Rushwa ni kama halali yao..!!
Alikutwa na changamoto za kimaadili kama vile matumizi abaya ya fedha za jumuia na pia kujipatia manufaa binafsi kwa kigezo cha madaraka yake ( mambo ya kudai penzi kwa lazima).Dr Mathuki toka Kenya amefurushwa EAC kabla ya kipindi chake cha uongozi kukamilika. Sasa EAC Ina Katibu Mkuu mpya Bi Veronica. Nini haswa sababu ya kufurushwa Dr Peter Mathuki (PhD)?
NB: Aliyekuja=Aliyekua
Askofu Zakayo na hela aiseeKuna fungu la pesa lilitolewa na wahisani kwa ajili ya kufanya mambo fulani huko South Sudan.
Jamaa kama walivyo mafisadi wengine kwenye eneo lenye madaraka na mamlaka aka-mute! pesa ikapotea na mpango mzima ukaendelea kuwa kwenye...Loading!
Wabunge wa SS wakachoma utambi bomu likalipuka.
Isivyokuwa bahati, Ruto akamnyakua Mathuki mpera mpera hadi Russia kupisha uchunguzi ambao kimsingi haukuhitajika zaidi ya hukumu....Wezi wana ushirikiano je? 😡
Ha ha haAskofu Zakayo na hela aisee
Naunga mkono hoja, jamaa ni mtu poa sana,Dr. Peter Mathuki ni moja ya viongozi waliojitahidi sana kuiboresha EAC
Sababu haijasemwa rasmi ila ni minongono minongono ya kwenye corridor tuu kuwa katika pita pita yake, kuna mahali alikanyaga, sio!.Dr Mathuki toka Kenya amefurushwa EAC kabla ya kipindi chake cha uongozi kukamilika. Sasa EAC Ina Katibu Mkuu mpya Bi Veronica. Nini haswa sababu ya kufurushwa Dr Peter Mathuki (PhD)?