Naomba msaada kujua kama mtu (Mdai) au mwakilishi wake kisheria anaweza pata nafasi ya kusimama na kumwambia jaji Mahakama kuu kuwa anataka kuiondoa yake ya madai , siku ya mention.
Kwani inaonyesha wakili wake ana maslahi na kesi hiyo, kwahiyo anataka kesi hiyo iendelea, kwahiyo hana nia ya kuiondoa mahakamani ijapokua amemuandikia barua afanye hivyo.