Salaam, Shalom!!
Awamu ya Tatu, Ben Mkapa aliwateketeza wachuna ngozi bila huruma yoyote na huo UOVU ulikoma. Albino waliishi Kwa Amani kipindi Cha miaka iliyopita hivi karibuni, imeanza tena.
Kwa sasa ninishuhudia mpishano usio wa kawaida wa Waganga wapiga ramli kwenye ofisi za wanasiasa Kila kukicha.
Hawana tena chembe ya Aibu,na hawajifichi, tutawezaje kuwatokomeza Hawa watu hatari katika JAMII?
Tuongeze Umakini, iwe amri kuwa, Waganga, wapiga ramli wasiwepo Tanzania ,ibaki utekelezaji tu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿. Amen
Pia soma:

- Mtoto Asimwe Novath aliyekuwa na miaka miwili na miezi sita akutwa amefariki na mwili kufungwa kwenye mfuko
- Kifo cha mtoto albino kinataka amri ya Rais sio masikitiko ya Rais
- Tumeshindwa kumlinda Asimwe
- Kufuta mauaji ya albino, ni kutokomeza kabisa Waganga wapiga ramli
- KWELI - Fr. Elipidius Rwegoshora, ambaye ni Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi Asimwe Novath, ni Padri katika Jimbo la Bukoba
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
- Damu ya huyu Mtoto Itazungumza mpaka wahusika wote na mtandao wao wapatikane popote walipo hapa duniani