Kufuta qualification/cheti Ajira Portal

Kufuta qualification/cheti Ajira Portal

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
Habari wajuzi,

Naomba msaada, mdogo wangu kapata shida ajira portal, ameattach qualification mara mbili kimakosa na anahitaji futa moja. Naomba msaada kwa anaejua namna ya kufuta.
 
Mi naomba namba za Hawa jamaa wa ajira portal hata ya IT wao maana zile hazipokelewi
 
Habari wajuzi,

Naomba msaada, mdogo wangu kapata shida ajira portal, ameattach qualification mara mbili kimakosa na anahitaji futa moja... naomba msaada kwa anaejua namna ya kufuta.
Haina shida
Kunasehemu unaweza kuedit ila si kufuta
 
Ukisoma muongozo wao wanashauri kwenye kujaza academic qualifications uanze na scee kisha acsee halafu umalize na degree. Kwa walionza na Degree halafu acsee na kumaliza na scee panarekebishwaje?
 
Kama ameweka mara mbili hy haina shida, aendelee kufanya mambo mngn
Kama unajua namna ya kudeactivate account ajira portal nisaidie plz,.. Nataka nifungue account nyingine,.. Ukifungua account mbili inazingua kwenye nida namba kwasababu huwezi tumia same number in two different accounts.
 
Hakuna option ya ku deactivate account. Kama Vyeti n vyako kwann unataka kuvifuta? Subir utapata kazi kulingana na elimu yako.
 
Hakuna option ya ku deactivate account. Kama Vyeti n vyako kwann unataka kuvifuta? Subir utapata kazi kulingana na elimu yako.
Hii account ninayotumia nikituma maombi ya kazi inasema nirudi kwenye profile niweke NIN yangu,... Nikiweka inasema huwezi tumia NIN zaidi ya mara moja😕
 
nahitaji kufuta iyo diploma/FTC msaada kwa anae fahamu
 
Attachments

  • IMG_0314.png
    IMG_0314.png
    708.6 KB · Views: 45
Back
Top Bottom