Kufutiwa matokeo

Kufutiwa matokeo

yassin12

Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
10
Reaction score
0
Mwanafunzi kufutiwa matokeo yake kwa makosa ya walimu au utendaji mbovu au kuonewa kwa njia yoyote ile na baraza la mitihani wakapewa habari hyo kuhusu uonevu huo na bado wakakaa kimya mwanafunzi yupo mtaani tu anatumikia adhabu kutokana na utendaji mbaya wa watu wengine

NINI KIFANYIKE HAPO JAMANI
 
Dunia ya watenda dhambi....haina haki....haki iko kwa mwenye nacho tu
 
Mwanafunzi kufutiwa matokeo yake kwa makosa ya walimu au utendaji mbovu au kuonewa kwa njia yoyote ile na baraza la mitihani wakapewa habari hyo kuhusu uonevu huo na bado wakakaa kimya mwanafunzi yupo mtaani tu anatumikia adhabu kutokana na utendaji mbaya wa watu wengine

NINI KIFANYIKE HAPO JAMANI

Fuatilia baraza wamefikia wapi baada ya kupewa taarifa.
 
Baraza hawakuleta majibu yoyote ila tume ilioundwa na waziri mkuu ilifika shuleni na kuwahoji wanafunzi juu ya tukio lote lililotokea siku ya mtihani mpaka kusababisha baraza wafute matokeo hayo na kugundua kua ni usimamizi mbovu na mwalim kuhamisha kazi ya mwanafunzi mmoja kuwapa wengine na kusababisha majib kufanana na baraza kuamua kufuta matokeo sasa hapo mpaka sasa baraza hawajachukua uamuzi wowote ule kwa wale waliohusika juu ya hilo
 
😛eep😀ogo Baraza la Mitihani hawana mamulaka ya kisheria kuchukua hatua dhidi ya mwalimu/waalimu. Mwenye mamulaka ni mwajiri wa Waalimu ambaye ni Katibu Mkuu Wizara ya Elimu au TAMISEMI.
 
Baraza hawakuleta majibu yoyote ila tume ilioundwa na waziri mkuu ilifika shuleni na kuwahoji wanafunzi juu ya tukio lote lililotokea siku ya mtihani mpaka kusababisha baraza wafute matokeo hayo na kugundua kua ni usimamizi mbovu na mwalim kuhamisha kazi ya mwanafunzi mmoja kuwapa wengine na kusababisha majib kufanana na baraza kuamua kufuta matokeo sasa hapo mpaka sasa baraza hawajachukua uamuzi wowote ule kwa wale waliohusika juu ya hilo

hapa inaonyesha wanafunzi na mwl wao walishirikiana katika udanganyifu, hivyo wote wanapaswa kuwajibishwa au kuadhibiwa. Kufutiwa mithani ni sawa kabisa. Na ilipaswa wafikishwe mahakamani.
 
Kilio cha huyu dogo ni kwamba udanganyifu ulifanyika kwa ushirika kati ya msimamizi na mwalimu kwa kuhamisha majibu yakwake yeye kwa wanafunzi wengine kwa vile alionekana kuwa na uwezo jambo lililosababisha majibu kufanana na Necta kufuta matokeo yao wote.
 
Back
Top Bottom