Mwanafunzi kufutiwa matokeo yake kwa makosa ya walimu au utendaji mbovu au kuonewa kwa njia yoyote ile na baraza la mitihani wakapewa habari hyo kuhusu uonevu huo na bado wakakaa kimya mwanafunzi yupo mtaani tu anatumikia adhabu kutokana na utendaji mbaya wa watu wengine
NINI KIFANYIKE HAPO JAMANI
Baraza hawakuleta majibu yoyote ila tume ilioundwa na waziri mkuu ilifika shuleni na kuwahoji wanafunzi juu ya tukio lote lililotokea siku ya mtihani mpaka kusababisha baraza wafute matokeo hayo na kugundua kua ni usimamizi mbovu na mwalim kuhamisha kazi ya mwanafunzi mmoja kuwapa wengine na kusababisha majib kufanana na baraza kuamua kufuta matokeo sasa hapo mpaka sasa baraza hawajachukua uamuzi wowote ule kwa wale waliohusika juu ya hilo
hapa inaonyesha wanafunzi na mwl wao walishirikiana katika udanganyifu, hivyo wote wanapaswa kuwajibishwa au kuadhibiwa. Kufutiwa mithani ni sawa kabisa. Na ilipaswa wafikishwe mahakamani.