Wizara ya Elimu na Mafunzo ilitangaza kufuta matokeo ya Wanafunzi wapatao elfu 9 waliofanya Mtihani wa Kuhitimu Elimu ya Msingi mwaka 2011 kwa sababu za udanganyifu.Je,Wizara ilifanya uamuzi sahihi kuwafutia matokeo watoto hawa?Kwa kawaida kila kituo cha Mtihani kinakuwa na wasimamizi, Je kwa nini mpaka sasa wasimamizi husika hawajaadhibiwa kwa kosa la makusudi walilofanya?