Nami sijawahi kueewa mantiki ya kukimbiza mwenge kabisa. Wanasema unazindua miradi ya maendeleo, kwani bila mwenge miradi hii haiwezi kuzinduliwa? Mbona mzee baba kazindua miradi kadhaa Dodoma bila mbio za mwenge?Kafara la Mwenge si lakitoto,Viongozi wazi na PhD za hawalali wanakesha usiku kucha,ukiwauliza nini faida za Mwenge watakujibu unaleta upendo sijui mshikamano na blah blah kibao ambazo ukizichunguza hazina uhusiano na Mwenge.
Hata mimi sijui. Lakini je! tuwe na mwenge kwakigezo kwamba hata wengine wannao? Au tusiwe nao kwa vile wengine hawana?Labda swali la kujiuliza, Je! Ni Tanzania pekee yenye utamaduni wa kuuenzi mwenge?
Kama mwenge ni utamaduni basi hasara yake ni kuukana huo utamaduni, kwa ninavyojua utamaduni hulindwa kwa gharama kubwa.Hata mimi sijui. Lakini je! tuwe na mwenge kwakigezo kwamba hata wengine wannao? Au tusiwe nao kwa vile wengine hawana?
Kama mwenge ni utamaduni basi hasara yake ni kuukana huo utamaduni, kwa ninavyojua utamaduni hulindwa kwa gharama kubwa.