Kufuzu AFCON 2017: Chad vs Tanzania

Bongo bana sijui vipi, yaani hata timu ya Taifa haina twitter account ya kueleweka, sasa sijui watu wanafanyakazi gani huko TFF, kupiga dili tu? Wamefungua twitter account mwaka 2012, wakaweka post mbili tu mpaka leo nafikiri wameshasahau na password kabisa. Jamal Malinzi, twitter ndio sehemu ya kutoa updates kuhusu kila kitu cha timu yetu, kama huwezi toka wapishe wengine wafanye hiyo kazi.
 
Ha ha ha kwani wale jamaa wana wachezJi gani?


Man wale jamaa (Namaanisha Genk) wanawachezaji wa NT wa nchi tofauti, isitoshe wachezaji wa kutoka Afrika lazima waonyeshe kwamba wanaweza, otherwise unapigwa danadana za loan mpaka utaishia kucheza Ugiriki ndio ujue safari ya kurudi Tandika hiyo.
 
Duh!bado dakika punch sijui watachomoa hawa wanubi kila la kheri taifa starz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…