haba na haba
Member
- Oct 30, 2012
- 17
- 6
Mkuu wewe una mpira wako?Goli la pil limefungwa na mbawana
nini wewe?Gooooooooooooooo
Tbc ni jipu la kwapa hata mechi za nyumbani hawaonyeshi asante azam wamekua wakombozi wa taifa mf. Mechi ya twiga tbc walichuna azam wakaonyesha sijui ndo nin maana ya television ya taifa kazi kuonesha vichempat tuTBC vipi hawataonyesha,?