T tetestaly Senior Member Joined Sep 10, 2015 Posts 126 Reaction score 59 Nov 22, 2020 #1 VP wakuu taifa stars kuna uwezekano wa kufuzuAfcon 2021? Mech kati Libya na equtotia Guinea na taifa stars ni lini???
VP wakuu taifa stars kuna uwezekano wa kufuzuAfcon 2021? Mech kati Libya na equtotia Guinea na taifa stars ni lini???
E ebaeban JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 2,205 Reaction score 2,697 Nov 23, 2020 #2 Ndiyo uwezekano upo kama ikishinda mechi zote mbili zilizobaki itafikisha alama 10, itakuwa imefuzu, inatakiwa kuishinda timu ya taifa ya Libya nyumbani na kuishinda timu ya taifa ya Guinea ya Ikweta uganini.
Ndiyo uwezekano upo kama ikishinda mechi zote mbili zilizobaki itafikisha alama 10, itakuwa imefuzu, inatakiwa kuishinda timu ya taifa ya Libya nyumbani na kuishinda timu ya taifa ya Guinea ya Ikweta uganini.
Mr_X JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 1,170 Reaction score 2,335 Nov 23, 2020 #3 tetestaly said: VP wakuu taifa stars kuna uwezekano wa kufuzuAfcon 2021? Mech kati Libya na equtotia Guinea na taifa stars ni lini??? Click to expand... Kwa Kocha msaidizi Juma Mgunda!
tetestaly said: VP wakuu taifa stars kuna uwezekano wa kufuzuAfcon 2021? Mech kati Libya na equtotia Guinea na taifa stars ni lini??? Click to expand... Kwa Kocha msaidizi Juma Mgunda!