KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

Tujitoe kushiriki mashindano ya kimataifa itakuwa bora sana roho zetu zitulie maumivu hayajatuisha huku yaleyale mmh.
 
Si mtaalamu wa Soccer sana.
Ila hii mechi hata kama Viwango si sawa refa naye hayuko sawa na Maamuzi yake ....
Kadi za njano zimeshakua nyingi kwetu kuongezeka nyekundu sitashangaa .
Waarabu wao ndiyo wanacheza na kumchezesha refa matukio .
Nashukuru Vijana wanapiga bila kukata tamaa.
Dakika 55 Aishi Manula anaokoa goli la 5(Bathezi sub)
 
No mkwasa anahujumiwa na hawa wachezaji. au hawajalipwa
 
Ally Mustafa mbona hajarudi? Kaumia au ni tactical move?? Kama hajaumia hapa ndo madhaifu ya Mkwasa yanapoonekana. Tuko pingufu alafu anatoka kipa? Natumai barthez kaumia tu ndo maana katoka.

Cha mtemakuni watakiona sisiem mbele kwa mbele
 
MI ngoja nijipumzishe, nitachek kwenye livescore full mechi matokeo ya mwisho. Aisee ng'ombe wa masikin kweli azai
 
Mimi nasema hivi kuna wengi hawapendi maendeleo yetu kwa nini kila mechi hasa hizi tunazocheza na waarabu lazima ianzie TZ na kumalizia ugenini? Kulikoni. Sijaiangalia hii mechi ziwezi kusema mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…