Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Cha mtemakuni watakiona sisiem mbele kwa mbele
Dakika 58: Algeria 5 Tanzania 0.
Ccm ni laana kwenye hii nchi
Sisiem wanafikaje hapa? Naomba nifafanulie!
Mimi nasema hivi kuna wengi hawapendi maendeleo yetu kwa nini kila mechi hasa hizi tunazocheza na waarabu lazima ianzie TZ na kumalizia ugenini? Kulikoni. Sijaiangalia hii mechi ziwezi kusema mengi