KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

Siku zote nasema kwa nchi hii bado tunahitaji KOCHA MZUNGUUUU kama Maximo aliekatishwa kwa fitna.

Ila hawa wazalendo wenye kupitia pale Karume,hakuna kitu.

Mkwasa tunaomba utuachie team yetu mkuu.Hata Poulsen asingetufikisha hapo
 
Kocha upeo wake umefikia mwisho,Boniphace uwezo wake ni Ligi ya hapa nyumbani kwetu,watu wanaendekeza ushabiki wa Uyanga na Usimba,Kocha gani ambaye hawezi kuusoma mchezo na kutoa maelekezo,ukiangalia wachezaji hawako mchezoni kabisa
 
yale magoli ya kona hayahusiani na sisi kuwa pungufu bali ubovu.
 
Jaman apa soon tunachezea kipigo cha arsenal alichopgwa na man u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…