The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kuchanganyikiwa, kutuchanganya, kujichanganya, kuchanganyana na kuibianaPikipiki
Baiskeli
Huku kama sio kuchanganyikiwa ni nini?
🙄🙄🙄🙄🙄🙄swali lako kulijibu linahitaji mwanasheria...😅
Kwani nani kakwambia ukipewa baiskeli lazima umchague Samia!?Hivi karibuni, rais Samia alitoa baiskeli kibao.
Je hii siyo rushwa?
Je hii pesa ndiyo inafanya tukope sana?
Je rais kaipata wapi tena kihalali pesa hii?
Je ananunua nini zaidi ya kura?
Je hapa kutakuwa na haki?
Je anatufundisha nini?
Je anaogopa nini hadi ahonge?
😬😬😬🤣🤣🥰🥰🥰Kimsingi hapa ni NoreformsNoelection
Kwanini upewe kwani huna pesa na kwanini usihoji huo umaskini kaleta nani na kwanini sasa karibu na uchaguzi? Simpo.Kwani nani kakwambia ukipewa baiskeli lazima umchague Samia!?
😪😪🤧🤧🤧🤧Mitano tena
Na kwa nini upokee!?Kwanini upewe kwani huna pesa na kwanini usihoji huo umaskini kaleta nani na kwanini sasa karibu na uchaguzi? Simpo.
Kaiba baiskeli umepokea, akiiba kura pokea pia.Kwani nani kakwambia ukipewa baiskeli lazima umchague Samia!?
Ukikataa wenzio walaNa kwa nini upokee!?
Na ukila utaliwa piaUkikataa wenzio wala
Kinachoendelea kwa sasa nchini ni rushwa ya wazi... Kuanzia uzinduzi wa miradi, mabaiskeli, mapikipiki... Ni uvunjifu mkubwa wa Sheria ya uchaguzi!Hivi karibuni, rais Samia alitoa baiskeli kibao.
Je hii siyo rushwa?
Je hii pesa ndiyo inafanya tukope sana?
Je rais kaipata wapi tena kihalali pesa hii?
Je ananunua nini zaidi ya kura?
Je hapa kutakuwa na haki?
Je anatufundisha nini?
Je anaogopa nini hadi ahonge?
Du! Heri uliwe weweNa ukila utaliwa pia
Wewe ni mkweli na una akili timamu sanaKinachoendelea kwa sasa nchini ni rushwa ya wazi... Na uvunjifu mkubwa wa Sheria ya uchaguzi!