Yapata mwezi sasa nimekuwa nageukageuka sana usiku huku nikipata usingizi finyu sana, sina mahali popote mwilini ninaposikia maumivi yoyote.
Kitu pekee nilichoona ni kuwa nimeongezeka uzito kwa kilo sita ndani ya miezi saba pengine ni kwa sababu ya kutumia gari sana.
Sijachukua jukumu la kwenda hospitali kumuona daktari kwa sababu sina maelezo ya kutosheleza.
Naombeni uzoefu wenu!