Kugharimu maisha ya mamilioni ya vijana wa Tanzania, nini kingetumika

Kugharimu maisha ya mamilioni ya vijana wa Tanzania, nini kingetumika

goodfool

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
1,668
Reaction score
994
Kama kuna kitu kingetegeshwa ili kugharimu maisha ya mamilioni ya vijana wa Tanzania, nini kingetumika kati ya hivi[emoji116]

[emoji3591]iPhone 14 pro ya bure
[emoji3591]Nafasi ya Ajira ya benki
[emoji3591]Shamba la bure
[emoji3591]Degree ya theolojia bure
[emoji3591]Mkopo wa USD $400
[emoji3591]Wazo la biashara.
[emoji3591]Kitabu cha bure
 
Kuna watu hataki vyote hapo mpe tuu uchawi basi, roho kwatuu
 
Back
Top Bottom