kughushi vyeti vya elimu kazini

kughushi vyeti vya elimu kazini

Kinyengeli

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
452
Reaction score
143
Ndugu wadau naomba kujua mtu akipatikana na hatia ya kughushi cheti kazini adhabu yake nini? Kuna jamaa yangu mmoja ametuhumiwa kwa kosa hilo.
 
Mkuu adhabu zipo lakini kwa wanyonge
Atatakiwa kulipa mishahara yote aliyolipwa
na Serikali wakati anafanya kazi.


Pia kifungo kinahusika lakini ni kwa wanyonge
kuna Mbunge maarufu sana alikuwa anaitwa
KIHIYO,CHITALILO na wengine wengi walighushi
vyeti ambavyo vina Elimu wasiyoimudu


Cha ajabu kesi zao ziliishia hewani tu zaidi
walinufaika kwa kulipwa stahiri zao km
hakuna walilotuhumiwa nalo.


Tunasema unapochafuliwa kwa tuhuma kama
hizo na una nafasi nzuri basi Serikali yenyewe
inakuja na Delitto lita mija inakuosha na kuuwa
wadudu wote halafu unakuwa msafi kama
hujawahi kutuhumiwa vile.
 
maisha ni nouma men ,yaana mwizi wa kuku au simu stend tunaua kumbe tunaoua maofisini tumepiga mbaya
dah vijisenti
 
Back
Top Bottom