Kugombana na mwenzio inapunguza Kinga za mwili: Profesa Janabi

Kugombana na mwenzio inapunguza Kinga za mwili: Profesa Janabi

BabaMia

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2024
Posts
270
Reaction score
554
MKURUGENZI WA MNH: UGOMVI NA MWENZA WAKO UNAWEZA KUPUNGUZA KINGA YA MWILI

Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Mohammed Janabi, ametoa ufafanuzi wa kitaalamu kuhusu athari za ugomvi na mwenza kwenye afya ya mwili, akibainisha kuwa hali hiyo inaweza kupunguza kinga ya mwili wa binadamu.

#ZamaradiTV
 
Huyu nae anaelekea kuchanganyikiwa.mwishowe atatuambia usipomsifia mama Samia utapata ugonjwa wa kusinzia.
 
Yuko sawa ndio mana amekuwa mshauri wa Raisi wa masuala ya afya .Huwezi kumuelewa Janabi kama hujatuliza kichwa . Mru mpakaanajuwa mshauri wa raisi wa masuala ya afya usifikirie ni jambo rahisi
 
Back
Top Bottom