Hii generazation imekaa vibaya.....Kuna rafiki yangu anakamua mke wa jirani yake tena wamepanga nyumba moja....ni sahihi kusema wanawake ovyo sana? choose your words Ms Nyamayao!
[/COLOR]
tatizo la wengi we2 2naona nikianza life upya cjui wa2 watanifikiria vipi, oohh cjui watasema nimeachika, mawazo mengi yacyo na ulazima, unapoumia humo ndani coz ya m2 kama huyu ni ili iweje? mie yanilikuta kipindi fulani nilikaa pale wakati wa huo msukosuko ili nimalize mambo yangu fulani nichape mwendo, ashukuru mungu wake alishtuka na kujirudi mapema coz ningetoka pale nikae kwangu ambapo cdaiwi kodi wala nini, ingekuwa ndio imetoka hiyo nicngegeuka nyuma, alijirekebisha na sasa 2po sambamba, hawa wa2 ukitaka wakuchanganye akili watakuchanganya karibia na uchizi, ajiamini kwamba anaweza huyo mama na atafanikiwa tu.
Nyamayao,
Sometimes kuogopa macho ya watu linaweza likawa tatizo coz baadhi ya watu wanaishi kwa kuogopa majirani watasema nini! Tatizo jingine linakuja kwenye dini, kama ni mkristo nadhani unaelewa kuwa mpaka "kifo kitakapowatenganisha" kwa wale wenye imani kali huwa wanakufa na tai shingoni! Pia wanawake wengi hufikiria mstakabali wa watoto pale ndoa itakapovunjika hivyo wengi wao ni wagumu sana kukubali kuvunja ndoa hata kama hiyo ndoa si ndoa bali ni ndoano!
Fidel80
Nyumba ndogo ina uzuri gani sasa?kama ingekuwa na uzuri unapofukuzwa kazi ingeendelea kuwa nawe na pindi unapougua pia ingekuwa nawe bega kwa bega,kwa nini unapougua au unapofukuzwa kazi inalala mbele na isiwe na wewe wakati wa shida pia?

Ndo maana ikaitwa nyumba ndogo.
Hakuna penzi zuri na taaaamu kama la kificho ficho siku moja jaribu uone raha yake.Lakini angalia usije ukapigwa talaka 3.
[/COLOR]
Bado niko nawe Fidel80,kama hilo penzi ni zuri na taamu kwa nini lisiwe taamu zaidi unapopata matatizo?You know huwa nawashangaa sana wanaume unakua na nyumba ndogo unaifurahia na kuifanyia kila inachohitaji mpaka unasahau familia yako,Kasheshe inakuja zuka unapopata matatizo na kuamua kurudi kwenye familia yako kwa unyenyekevu fake,kwa nini usiendelee kukaa huko kinachokurudisha kule ambako ulikusahau ni nini? Si ubaki huko huko tuone kama itakujali kama zamani.

Na huo ujasiri fake huwa sijui wanaupata wapi.Pata picha kuwa mwanamke kamsaliti mumewe..halafu yanapomshinda anarudi kwa mumewe tena.Itakuwa vipi?
Kama mtu amekufanyia hivyo kwa nini na wewe unampokea?
Fanya wewe sasa uone moto wake hakuna mjadala....lakini swala la kujiuliza kwa nini wanawake mna mioyo ya huruma sana?
Na huo ujasiri fake huwa sijui wanaupata wapi.Pata picha kuwa mwanamke kamsaliti mumewe..halafu yanapomshinda anarudi kwa mumewe tena.Itakuwa vipi?
Thank you sireeee!!!
Hata mimi sijui kwanini tuna mioyo hiyo jamani!
Ila usione hivyo ukajua ndo wanawake wako wajiiinga kiasi hicho.Wanawake wana nguvu za ziada ambazo wamejaliwa na Mungu kuhimili kash kash mbalimbali.Vinginevyo hii dunia isingekalika.Pia, usione unamtenda mwanamke akaa kimya ukadhani ni mjinga.Kuna siku yako itakuja na utakuwa mpoleeeee kama maji ya mtungini na utaona dunia chungu.
Sasa kwa nini nyumba ndogo zinashindwa kuhimili kash kash?
Hakuna mtu anafanya kitu bila malengo. Lengo la mke ni kuolewa, ajenge familia yake na atailinda kwa nguvu zake zote na ikibidi atamlinda na mumewe kwa gharama yeyote ile, mradi familia yake isimame.Lengo la nyumba ndogo si moja.Yanaweza kuwa mengi - moja wapo likiwa ni la kiuchumi.Uchumi unapotetereka inabidi hatua za haraka zichukuliwe ili kupata mbadala , na wewe ulieyumba inabidi utoswe!
Sasa nimepata jibu ndo maana wale wanawake wanao olewa wanashindwa kupata familia iwa wanakuwa wamafia sana....
Sasa kwa nini nyumba ndogo zinashindwa kuhimili kash kash?
Fafanua..sijakupata