Kuh kukopa benki ya posta

Kuh kukopa benki ya posta

Jumakidogo

R I P
Joined
Jul 16, 2009
Posts
1,851
Reaction score
420
Kwa wanafahamu, inachukua muda gani kwa mteja wa benki ya posta kukopa baada ya kufungua akaunti? Au unaweza kufungua leo na kesho ukaanza mchakato?
 
Ingekuwa vizuri kama utawatmbelea watakupa maelezo mazuri, maana inategemeana umekuwa Mteja wao kwa muda gani.
 
Ingekuwa vizuri kama utawatmbelea watakupa maelezo mazuri, maana inategemeana umekuwa Mteja wao kwa muda gani.
niko bush, nasikia tu kuna mikopo ya wafanyabiashara wadogo inatolewa na benki hiyo. Poa ntasafiri kwenda kuwacheki.
 
niko bush, nasikia tu kuna mikopo ya wafanyabiashara wadogo inatolewa na benki hiyo. Poa ntasafiri kwenda kuwacheki.

Kama ungekuwa mtumishi ingekuwa ndani ya wiki moja, lakini kama ni mfanya biashara inaweza chukua mwezi maana mpaka wajiridhishea na biashara yako, halafu uwe na document zote zinazoonyeshe uwezo wako wa kulipa deni.
 
Back
Top Bottom