Jumakidogo R I P Joined Jul 16, 2009 Posts 1,851 Reaction score 420 Nov 10, 2011 #1 Kwa wanafahamu, inachukua muda gani kwa mteja wa benki ya posta kukopa baada ya kufungua akaunti? Au unaweza kufungua leo na kesho ukaanza mchakato?
Kwa wanafahamu, inachukua muda gani kwa mteja wa benki ya posta kukopa baada ya kufungua akaunti? Au unaweza kufungua leo na kesho ukaanza mchakato?
S sawabho JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 5,286 Reaction score 3,111 Nov 10, 2011 #2 Ingekuwa vizuri kama utawatmbelea watakupa maelezo mazuri, maana inategemeana umekuwa Mteja wao kwa muda gani.
Ingekuwa vizuri kama utawatmbelea watakupa maelezo mazuri, maana inategemeana umekuwa Mteja wao kwa muda gani.
Jumakidogo R I P Joined Jul 16, 2009 Posts 1,851 Reaction score 420 Nov 10, 2011 Thread starter #3 sawabho said: Ingekuwa vizuri kama utawatmbelea watakupa maelezo mazuri, maana inategemeana umekuwa Mteja wao kwa muda gani. Click to expand... niko bush, nasikia tu kuna mikopo ya wafanyabiashara wadogo inatolewa na benki hiyo. Poa ntasafiri kwenda kuwacheki.
sawabho said: Ingekuwa vizuri kama utawatmbelea watakupa maelezo mazuri, maana inategemeana umekuwa Mteja wao kwa muda gani. Click to expand... niko bush, nasikia tu kuna mikopo ya wafanyabiashara wadogo inatolewa na benki hiyo. Poa ntasafiri kwenda kuwacheki.
S sawabho JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 5,286 Reaction score 3,111 Nov 10, 2011 #4 kibwenga said: niko bush, nasikia tu kuna mikopo ya wafanyabiashara wadogo inatolewa na benki hiyo. Poa ntasafiri kwenda kuwacheki. Click to expand... Kama ungekuwa mtumishi ingekuwa ndani ya wiki moja, lakini kama ni mfanya biashara inaweza chukua mwezi maana mpaka wajiridhishea na biashara yako, halafu uwe na document zote zinazoonyeshe uwezo wako wa kulipa deni.
kibwenga said: niko bush, nasikia tu kuna mikopo ya wafanyabiashara wadogo inatolewa na benki hiyo. Poa ntasafiri kwenda kuwacheki. Click to expand... Kama ungekuwa mtumishi ingekuwa ndani ya wiki moja, lakini kama ni mfanya biashara inaweza chukua mwezi maana mpaka wajiridhishea na biashara yako, halafu uwe na document zote zinazoonyeshe uwezo wako wa kulipa deni.
Jumakidogo R I P Joined Jul 16, 2009 Posts 1,851 Reaction score 420 Nov 10, 2011 Thread starter #5 Aisee, nashukuru sana.