HENGAIPINGE LIPUNGE
Member
- Jul 2, 2018
- 8
- 4
MADA MPYA 3: KUHAKIKI KAZI YA FASIHI ANDISHI
MADA NDOGO: MAENDELEO YA FASIHI ANDISHI.
A.Mwelekeo wa kazi za fasihi andishi nchini Tanganyika na Zanzibar wakati wa ukoloni.
KIMAUDHUI:
Kazi nyingi za fasihi andishi nchini Tanganyika na Zanzibar zilishughulikia masuala mbalimbali ya kimaisha lakini zaidi nyingi zilikuwa na mambo ya mila na tabia kama njia ya kufundisha maadili vile vile zilishughulikia utamaduni, mawaidha, dini, maadili mema na maonyo na kazi zilizoopinga ukoloni
Senkoro (1976) anaonyesha kuwa maandishi ya kwanza ya nathari yaliyotokana na waafrika wenyewe na “James Mbotela kinashughulikia uhusiano baina ya mataifa ya magharibi na ya Afrika.Katika kitabu hiki mwarabu na mishonari wanalaumiwa kwa utumwa uliokuwepo Afrika Mashariki wakati mkoloni sanasifiwa kwa kuleta uhuru, hata japokuwa utumwa ulitiliwa nguvu na ukoloni..............
>>>>>>>SOMA ZAIDI>>>>>>>>
Register – Karibu