Habari Wana jamvi hivi ni kwanini tukitaka kuomba Ajira za Serikalini tunahitajika ku-certify vyeti vyetu vya elimu kwa wanasheria au mahakamani?
Je, mamlaka za Ajira hazitambui vyuo tulivyosoma au kuna umuhimu gani haswa wa ku-certify vyeti hivyo.
Je, Kama vyuo tulivyosoma vinatambuliwa na mamlaka zote kama TCU, NECTA na Nactvet ni kwanini wanataka tuhakiki vyeti kwa wanasheria
Mfano wapo vijana walioshindwa kuitwa kwenye usaili sekretarieti ya Ajira kwa kushindwa kupiga mihuri ya wanasheria vyeti vyao hali iliyolikosesha taifa nguvu Kazi na kumfanya kijana kupoteza fursa ya kupambania ajira.
Naomba kuwasilisha.