Kuhama chuo

Gray Ze Don

Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
36
Reaction score
3
Wajamen plz nisaidieni.eti unaweza kuhama chuo na faculty?eg kutoka Teku (baEd) kwnda Makumira (law)
 
inawezekana but process ni kubwa sana na inategemea kama hio law huko makumira kama haijajaaa
 
Tangu haya mambo ya TCU yaanze nashindwa kucomment coz kila siku mabadiliko. Ngoja wadau waje kukusaidia.
ENzi zetu si haya mambo hayakuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…