Kuhama course UDOM

Jandomaster

Member
Joined
Oct 10, 2014
Posts
10
Reaction score
1
Habari zenu wana jf..mimi nimechaguliwa udom course ya BEDA nataka kuhamia BAED je ni rahisi kufanya hivyo na itakuwa na athari gani kwangu? Naombeni ushauri wenu juu ya kuhama kirahisi na kwa mda mfupi
 
Mkuu hapa utachanganywa tu na majibu ya watu.Mimi nimesomea pale ila ninachojua kuhamia kozi yoyote ya COED ni rahisi tena hii ni ndani kwa ndani wala haitokusumbua.Kilichopo uwahi kuripoti chuo na kauone uongozi husika watakupa maelekezo ingawa nasikia tangu 2013 watu wa BAED ingawa ni walimu wao wanakaa college of humanities ingawa sina uhakika na hilo maana mimi nimehitimu 2012.
Ingawa mimi tofauti ya baed na bed arts naona ni ndogo sana na naona lbda ni idadi tu ya teaching subjects..
 
Nashukru kwa ushaur wako mkuu hv uhamisho hautaweza kunletea madhara kwenye boom?
 
Nashukru kwa ushaur wako mkuu hv uhamisho hautaweza kunletea madhara kwenye boom?

Matatizo. Yatakuwepo endapo course unayotoka itakuwa Na ada pungufu ya course unayohamia.
Kitu kingine utakachopata ni kutembea sana utawala muda wa masomo. Wale jamaa wa. Aris wana mambo ya kitoto.
Unaweza. Kaa 4 months bila kusomeka kwenye. System.
 
dah,hapo inabd nbakie bed arts tu mkuu coz nkpata matatzo kweny boom yawezekana nkajilaum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…