Upumbavu ni pale unapovaa barakoa mda wote ukiwa peke yako kwa mfano umesafiri kutoka Dar mpaka Dodoma mda woote umeivaa na kisha kuivua tu pindi unapoingia kwenye mkutano wa maelfu ya watu eti kisa mtu fulani asichukie. Hii ni akili kweli?Barakoa sio kinga pekee
Dalili mojawapo ya binadamu mpumbavu ni pale anapokuwa anafanya matendo kinyume na uhalisia wake akiwa na hofu dhidi ya mtu mwingine au kujipendekeza kwa Mtawala wake. Nimetumia neno mpumbavu na sio mjinga kwani mjinga ni yule mtu asiye na uelewa juu ya jambo fulani lakini akieleweshwa ujirekebisha ila mpumbavu yeye upuuzia bila kujali matokeo..
View attachment 1504227
View attachment 1504208
View attachment 1504210