Zipo standing order za kiutumishi zinazotoa miongozo ya kumuhamisha Mtumishi kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kingine mfano Mtumishi mwenye Mke/Mme na watoto/tegemezi taratibu zinasema kuwa atalipiwa gharama za kujikimu,mizigo yeye na mwenza wake pamoja na watoto/tegemezi.
Lakini cha kushangaza kwa fununu zilizopo Bwana Mkubwa ametoa maelekezo kuwa hakuna cha mtoto wala tegemezi bali atamlipia Mme/Mke tu. Sasa najiuliza hivi kweli kiongozi wa namna hii anamjua Mungu kweli?
Amekuwa ni mtu wa kuvunja sheria na taratibu zilizowekwa kwakweli wananchi tupige kelele kwa pamoja endapo maamuzi haya yatapitishwa ni dhaili huyu jamaa katoka kwa Shetani.