Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
Kila kitu kinaanza na wazo.
Nimeona ni fursa kuwekeza katika matofari ya block huko Dodoma nikiamin kutakuwepo na ujenzi wa majumba mbalimbali kukabiliana na mahitaji ya majengo mbali mbali.
Sasa kwa anayejua udongo wa Dodoma vizuri (maana mi hupita tu na naelewa vizuri kwa kanda ya ziwa),
Je mashine ya kutengeneza tofari za block za udongo tu wa mfinyanzi bila cement itawezekana? Au ardhi yao haina udongo huo!